KAMA ULIKUWA HUJUI NI KWAMBA ALI KIBA ANA WATOTO WATATU
Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake.
Akizungumza na paparazi kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo Dar es salaam na mama yake na watatu anaishi Uingereza na mama yake