HATARI SANA: MANCHESTER UNITED YAUA EPL...YAICHAPA 4-0 QPR! TAZAMA PICHAZ HAPA
Ander Herrera akiifungia Manchester bao la pili.
Manchester United wakishangilia bao lao la tatu lililofungwa na nahodha wao Wayne Rooney.
Manchester United wamefanikiwa kuchomoza na ushindi wa kwanza chini ya kocha wao mpya Van Gaal kwa mabao 4-0
dhidi ya QPR katika mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa Uwanja wa Old
Trafford, jijini Manchester.