GEILSON
SANTON SANTOS (JAJA) baada ya PELE kustaafu mshambuliaji ambae
alikaribia kuvaa viatu vyake alikua ROMALIO baada ya ROMALIO kustaafu
viatu vyake vilivaliwa vyema na RONALDO DE LIMA , ila tangu DE LIMA
astaafu hakuna hata aliekaribia kuvivaa viatu hivyo kwa kupindi kirefu
saana , ila kwa bahati nzuri katika kizazi hiki kuna JINI MAGOLI
limejitokeza nchini BRAZIL ambae anakaribia kuvivaa viatu vya RONALDO DE
LIMA nae si mwingine ila ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea miaka 10
iliyopita africa mashariki na kati na duniani koote kwa ujumla
namtambulisha kwenu GEILSON SANTON SANTOS (JAJA) .....Ni wakati wa DUNGA
kumuita national team........
SHIKAMOOOOOOO JAJA...
SHIKAMOOOOOOO JAJA...