Laiti
kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa
lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha,
Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila
aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama
tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi
tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are
the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni
bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be
physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll
be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko
nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama
Home
»
»
DIAMOND: MI NA WEMA WATUACHEEEE TULALE.......................