AIBU : MASHOGA KIBAO WA JIJI LA DAR WAFURIKA KWENYE PARTY YA MSANII WA BONGO MUVI...SOMA HAPA KUMJUA
Makubwa! Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ameangusha bonge la pati huku ikihudhuriwa na mashoga kibao.
Wanaume 'tata' wakilishana keki katika sherehe ya bethidei.
Pati
hiyo ya kufuru ambayo ilikuwa ni ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya kijana wa
mjini aliyetajwa kwa jina moja la Abdul iliyoandaliwa na Anti Lulu
ilifanyika katika Hoteli ya KB iliyopo Kijitonyama, Dar, wikiendi
iliyopita ambapo ilihudhuriwa na watu mbalimbali lakini asilimia kubwa
ya waalikwa walikuwa ni ‘wanaume tata’.
Aunty Lulu akikata mauno kwa raha zake.
Ijumaa
Wikienda lilifanikiwa kuzama ndani ‘kimafia’ ambapo lilimshuhudia Anti
Lulu akikata mauno ya kufa mtu baada ya kusikia kibao kata kilichokuwepo
hotelini hapo.
Wageni waalikwa wakiendelea kujiachia katika bethidei hiyo.
Katika pati
hiyo wanawake wengi walionekana wakiwa nusu utupu na wengine baada ya
kuingia walivua nguo na kuvaa vichupi na braa kisha kuzama kwenye bwawa
la kuogelea wakifuatiwa na mashoga hao waliokuwa wamevalia boksa na vest