Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAMBO YA KINA DADA MJINI

MAMBO YA KINA DADA MJINI



VITENDO VYA KUSAGANA KWA WANAWAKE,VYAMUUMBUA HOUSE GIRL




Huwa ni kawaida mimi na mke wangu kutoka asubuhi na kuelekea kwenye mitikasi yetu kazini na kumuacha dada wetu wa kazi hapo nyumbani, ni binti safi na anaonekana mwenye kujiheshimu sana.

<<picha>>


Siku moja mke wangu aliwahi kidogo kutoka kazini kwani hakuwa akijisikia vizuri, alipata ruhsa na kurudi nyumbani alipofika alimkuta dada wetu wa ndani na mwenzake dada wajirani yangu ambaye pia namfahamu.

Haikuwa tatizo sana kwani walikuwa kwenye hali ya kupiga tu story na vicheko vya hali ya juu sana. Basi niliporudi nyumbani mke wangu alinihadithia hiyo hali lakini niliona hakuna tatizo kwani pia namfahamu kuwa ni dada wa jirani angu.

Siku nyingine ilikuwa majira ya jioni mke wangu simu yake ilikuwa haina charge tena nakumbuka siku hiyo umeme ulikuwa hakuna, na alikuwa na shida ya mhimu ya kupiga alimuomba dada wa kazi simu yake ili aweza kufanya mawasiliano. Dada alimpa mke wangu ila alikuwa ni kama mtu ambaye hakuwa na amani kabisa.

Mke wangu alichukua simu na kuweka line yake na kufanya mawasiliano. baada ya kumaliza tu kwanza alikutana na picha imewekwa kama screen saver ambayo ndio hiyo hapo juu . Picha yake akiwa uchi na mwenzake yule dada wa kazi wa jirani akiwa nyuma yake. Roho ikamuambia aingia kwenye gallery yani upande wa picha.

Hakuamini macho yake pale alipokutana na picha za wadada hao wakisagana, picha za uchi zilikuwa zimejaa kwenye simu hiyo. Alichukua simu na kunionyesha uchafu huo. Mpaka sasa hivi nipo kimya sijamuuliza chocho. NAOMBENI USHAURI WADAU NICHUKUE HATUA GANI?

 

Copyright © 2013. UBUYU KITAANI - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX