Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.

Home » » LAANA : : ALIWAPANDISHA MIZUKA WANAUME WAKATAKA KUMBAKA HADHARANI ONA HAPA Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi.Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara kwa kujigalagaza chini na mzuka ulipomuishia, alijikokota hadi pembeni akiwa hana nguvu, kitendo kilichowafanya wanaume wasio wastaarabu kumzingira. Walinzi wakimsaidia mrembo aliyenusurika kubakwa.Hata hivyo, walinzi waliokuwa eneo hilo walitumia nguvu ya ziada kumuokoa mrembo huyo kutoka kwa midume hiyo iliyokuwa imepania kumkomesha.(+18)

LAANA : : ALIWAPANDISHA MIZUKA WANAUME WAKATAKA KUMBAKA HADHARANI ONA HAPA Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi.Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara kwa kujigalagaza chini na mzuka ulipomuishia, alijikokota hadi pembeni akiwa hana nguvu, kitendo kilichowafanya wanaume wasio wastaarabu kumzingira. Walinzi wakimsaidia mrembo aliyenusurika kubakwa.Hata hivyo, walinzi waliokuwa eneo hilo walitumia nguvu ya ziada kumuokoa mrembo huyo kutoka kwa midume hiyo iliyokuwa imepania kumkomesha.(+18)

LAANA : : ALIWAPANDISHA MIZUKA WANAUME WAKATAKA KUMBAKA HADHARANI ONA HAPA

Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware.

Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi.Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara kwa kujigalagaza chini na mzuka ulipomuishia, alijikokota hadi pembeni akiwa hana nguvu, kitendo kilichowafanya wanaume wasio wastaarabu kumzingira.

Walinzi wakimsaidia mrembo aliyenusurika kubakwa.Hata hivyo, walinzi waliokuwa eneo hilo walitumia nguvu ya ziada kumuokoa mrembo huyo kutoka kwa midume hiyo iliyokuwa imepania kumkomesha.

Copyright © 2013. UBUYU KITAANI - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX