Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » KANDANDA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

KANDANDA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



NGAO YA JAMII:: AZAM FC VS YANGA LEO.

Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara
litafunguliwa leo katika Uwanja wa Taifa
(Mkapa Stadium), kwa
kuzikutanisha timu mbili zote
kutoka Dar es salaam Azam FC na Yanga SC katika Ngao ya Jamii.


Azam FC akiwa bingwa msimu
uliopita na Yanga SC akiwa ni
mshindi wa pili msimu uliopita.
Tukielekea katika mchezo huo Unaweza pia
kutabiri Matokeo ya mchezo huu.

JE NANI ATAIBUKA MSHINDI LEO???

latino
 

Copyright © 2013. UBUYU KITAANI - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX