Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » KAHABA YA KUSISIMUA HII HAPA.

KAHABA YA KUSISIMUA HII HAPA.

STORY YA KAHABA YA KUSISIMUA HII HAPA.... MAISHA HAYA WEACHA TU !!! SOMA HAPA


Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na bosi wangu .
Ukizingatia kwamba sikuwa na mume wala mchumba na kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa mtu wa kwanza kufanya nae tendo la ndoa , hivyo nilifurahia mhemko wake na jinsi alivyokuwa ananipenda na kunijali kila kitu nilipata na zaidi .
Alifanya yote haya bila kunificha kwamba ana mke na watoto nyumbani kwake kwahiyo wakati mwingine chochote kinaweza kutokea nijiandae kwa shuguli hiyo pevu kama mke wake akishitukia dili hilo .
Tulikuwa na uhusiano na huyu bosi kwa miezi 4 hivi mpaka siku moja katika tembea tembea mitaani nikakutana na kijana mmoja mtanashati akanieleza kwamba ananipenda na kunizimia sana yaani ameshanifia
Huyu kijana alihangaika kwa mwezi mzima mpaka siku nikaja kumkubalia akawa ndio mpenzii wangu halali sasa , nilimwamini sana na yeeye aliniamini sana , miezi 3 tokea kujuana na huyu kijana aliniambia kuhusu kufanya nae tendo la ndoa .
Nilifikiria sana wakati mwingine nilitaka kulia jinsi alivyokuwa ananishika na kuniomba tendo la ndoa akiwa chumbani kwangu , alijaribu kunishika sehemu kadhaa akanivua nguo nami nilimtolea nje nilimkatalia .
Basi siku moja nikamwomba tukaangalie afya zetu , kijana wa watu alikasirika sana wiki nzima hakufika nyumbani kwangu wala kunipigia simu , kumbe alitaka tufanye tendo la ndoa bila kinga ? sasa ningejuaje kuhusu afya yake ? au ananiamini nini mimi ?
Maisha yaliendelea na mambo mengine yaliendelea tu wiki ya 3 alinipigia simu akaniomba msamaha turudiane na alikubali kwenda na mimi kupata vipimo vya afya zetu kujua kwanza kabla hatujaanza mambo mengine yoyote yale .


Basi ndio hivyo majibu yaliyoka mazuri , ndio mapenzi yetu alikuwa zaidi na penzi nilimpa bila hiyana wala aibu yoyote , yeye mwenyewe alifurahia mambo yangu na kwanza alikuwa anatoroka nyumbani kwao kuja kulala kwangu wakati mwingine mwezi mzima .
Tuliendelea kwa miezi kadha na huyu kijana huku na mimi nikiwa na bosi wangu kule kazini , basi bwana siku moja , sisi officini tulitakiwa kwenda kutoa damu hospitali ya muhimbili katika maadhimisho ya siku ya afya duniani . Watu walipimwa afya zao na mimi nilipimwa , majibu yangu yalikuwa ya kutatanisha sikuamini macho yangu wala masikio yangu , nilienda hospitali ingine napo majibu yalikuwa yale yale kwamba nimeathirika na UKIMWI .
Haya majibu yalimfikia mpaka bosi wangu nae akatambua hilo akasikitika sana na yeye alivyoenda kupimwa akakutwa hajaathirika , basi nikajua moja kwa moja ukimwi nimepata kutoka kwa yule kijana wa mitaani na sio mtu mwingine .
Nikamwomba huyu kijana tukaangalie afya zetu kwa mara ingine tena hospitali , tukaenda kule kupima afya zetu , yeye ndio alikuwa wa kwanza kupokea majibu yake , alikutwa ameadhirika akupata mshituko wa ghafla yaani haamini .
Mshituko huo ulimpelekea aanguke chini na kuzimia watu walienda kumbeba na kumpeleka hospitali kupatiwa huduma ya kwanza basi hapo ndio magonjwa mengine yalianza kujitokeza na kujulikana sana .
Kumbe huyu kijana alikuwa na urafiki wa kimapenzi na shugamami mmoja mtaa wa pili huyu shuga mami mume wake alifariki dunia miaka 5 iliyopita kwa UKIMWI watu wanaema TB sijui , ndio huyu kijana kuona zile pesa za shuga mamy akaenda kwake .
Kijana aliumwa kwa miezi 3 hivi kisha akafariki dunia akaniacha duniani mwenyewe , kule kazini nilifukuzwa kaza na bosi wangu kisa nilitaka kumwambukiza ugonjwa wa ukimwi , lakini siku moja alinipigia simu kunieleza kwamba mke wake ameadhirika na UKIMWI pia lakini yeye anasema hajaadhirika .
Hapo ndio nilishangaa sana , kwanini mke wa aadhirike yeye asiadhirike au mke wake nae alikuwa anatoka nje ya ndoa bila mume wake kujua ? basi hiyo ni siri yao nyumbani kwao mimi hayanihusu .
Lakini ndio hivyo nilikuwa nimeshaadhirika na UKIMWI kazi nimeshafukuzwa sina cha kufanya wala kutafakari nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu wa UKIMWI na jinsi nitakavyoweza kuishi maisha marefu kwa matumaini .
KAHABA
Baada ya kuona maisha magumu na sina lolote la kufanya mimi kama mwanamke mrembo na mwenye mvuto niliamua kutafuta njia rahisi zaidi ya kujipatia kipitano nilifikiria njia nyingi sana ambazo zingeweza kunipatia angalau mlo na mavazi katika siku zangu za maisha zilizobakia baada ya kugundulika nina virusi vya ukimwi
Nikaanza kutafuta sehemu ambazo naweza kuuza mwili wangu kwa pesa za chapchap niweze kuendeleza maisha yangu ya kila siku , nilikuwa na ramani yangu kwanza pale OHIO , JOLLY , MACHENI , BILLS NA LATAVERNA hizo ni sehemu 5 kuu za starehe jijini dare s salaam kwahiyo huko naweza kufanya kazi za kujiuza kwa wiki nzima kila siku bila kuchoka .
Ohio ilikuwa nzuri ila tatizo lake ni kwamba kila anayepita pale anakujua halafu unatakiwa uonyeshe maungo yako hazarani mimi sikuzoea tabia hizo na sikuwa na mhemko huo kwahiyo nilivaa miwani yangu na kuacha mapaja nje tu waangalie wenyewe kama wanapenda watakuja . Kule macheni tatizo lake ni mashoga wengi sana , yaani mwanaume anaweza akaja kutafuta Malaya akakuchanganya wewe ni shoga , wale mashoga wanaojiuza hawana tofauti na sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani ulitokea ugomvi mkubwa watu waliamulia tulimgombea mwanaume .
Billa nako kuzuri ila vijana wengi sana halafu hawana pesa , na vitoto vidogo vingi , nilikuwa naogopa matatizo na vijana wa kule sikupenda kufanya mchezo na watoto wadogo waliokuwa wananitaka hata kwa dau gani nilingoja wanaume wenye pesa zao tu sio zaidi .
Basi nilianza safari za kuelekea jolly club kwa ajili ya kujiuza mwili wangu nipate angalau chochote cha kula na kufanya katika maisha yangu , pale jolly club nilikutana na dada mmoja anaitwa Aisha , huyu dada nae ni kahaba mzoefu akaanza kunionyesha mambo kadhaa wa kadha kuhusu biashara ya ukahaba na kadhalika . Hapa ndio nilijufunza kwamba sio makahaba wote ni masikini au hawajiwezi kuna wengine wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda kufanya ukahaba yaani wamechoka na dunia wengine walikuwa na wanaume wao wakaachika wakaamua kuja huku kwenda na mwanaume wowote yule anayekuja .
Wengine wana matatizo katika ndoa zao kupigwa na kadhalika wanaamua kuja huku kujiuza au kukaa huku ili kuepuka matatizo katika ndoa zao au mahusiano yao , wengine ndio kama hivyo waume zao hawana nguvu za kutosha kufanya nao tendo la ndoa wanaamua kuwa makahaba kila mtu na lake na mambo yake pia .
Wengine wanafanya huu ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au watu Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe kazi zao za uchunguzi kama polisi wa usalama sehemu walizoko .
Mwisho wa yote siku hizi kuna vita kubwa katika biashara hii ya ukabaha mjini dare s salaam , mfano kule jolly kuna wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya ukahaba kwahiyo wewe mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na wahindi au wachina .
Siku hizi wanaume wengi wanapenda kitu kinaitwa JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile , hii nayo ni soko kuu , mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka jicho na wewe hutoi jicho maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga na kufanya mapenzi kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya zaidi kuna wanaume wengine wanakuja wanaweza kukuchukua uende nao kufanya ngono kumbe wanakupiga filamu za ngono wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu wengine wanakupa ufanye mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo yanaenda hivyo .
Biashata hii ya ukahaba ilinichanganyia sana kwa miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna aliyenijua kama nimeadhirika na ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na kutuza siri zangu hizi kuu na sikupenda kuzoeana na watu sana hadi waniulize hivyo
Siwezi kuhesabu ni watu wangapi nimefanya nao ngono lakini ni zaidi ya 300 siku zingine nafanya kazi na watu zaidi ya 3 kwa siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu wengi hawakupenda kutumia mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja hivi hivi tu bila kinga chochote kile
Na mimi nilikuwa nimeshaadhirika nilichokuwa natafuta ni fedha za kuendeleza maisha yangu kwahiyo hata kama nikifanya ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana kwa kuwwa nilishajua hali yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha kufanya zaidi ya hichi .
Hii ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule kijana alinifanyia kuniambukiza UKIMWI kwa makusudi huku akijua kabisa ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye ameamua kuniuwa mimi basi na mimi nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu dhambi hizi nilizozifanya na sijutii kabisa .
MAISHA YA MTAANI
Huku mitaani waliniita majina kama JLo wakati mwingine salma hayek yaani wale waigizaji maarufu duniani kwa urembo nilio nao na mvuto wake , hakuna hata mmoja aliyekuwa na mawazo kama nimeadhirika au la kwa maana yule kijana niliyekuwa nae kama mpenzi alikufa kifo cha ghafla watu walisema amekufa kwa pressure .
Mitaani napo nilikamua kinoma , waume za watu walikuja mpaka mlangoni kwangu na magari yao , wananipakia na kunipeleka katika kumbi za starehe na sehemu nyingine nyingi sana wengine walinihonga mali na mambo kibao kisa wamenipenda wanataka ngono
Na kwa uhakika hawa wanaume niliwapanga sawia kabisa na hakuna aliyeweza kutambua mimi nina wanaume wangapi na wanaishi wapi wengi walijua ni washirika wangu katika kazi zangu na mambo yangu mengine kwanza sikupenda kuongea na mwanaume wowote chumbani kwangu wote nilikuwa nawaambia tukutane mbali kidogo na nyumbani haswa kati katika ya jiji .
Katika hawa wateja wangu kulikuwa na kijana mmoja anayeitwa juma huyu juma alikuwa na rafiki yake mmoja anayeitwa Shy , kijana mwembamba mwenye umbo la wastani , hana ndevu halafu ni mcheshi sana , alifanikiwa kuiteka moyo wangu , sasa nilitaka kumwambia mara kibao kwamba nimemzimia
Tatizo ni kwamba anayekuja kunichukuwa pale ni juma , juma huja pale kwa kusindikizwa na Shy , basi juma akanitambulisha katika website moja inayoitwa darhotwire www.MAPENZI.com, nyumbani nikienda kupumzika nilipenda kushinda katika tovuti hii kuchat na marafiki na watu wengine .
Huyu shy nae nilimkuta katika site hii usiku wa manane anachat na jamaa zake , ila siku moja nilikutana na kijana mwingine anayeitwa politeman , huyu ndio alinichanganya kabisa , kwanza jina lake na jinsi aliyokuwa anaongea kweli nilizimia mwenyewe bado nikawa na siri kubwa moyoni je hivi tukifanya ngono inakuwaje ?
Maisha yaliendelea tu , basi nikimpenda politeman , huyu kijana akawa anakuja mpaka nyumbani kwangu wakati mwingine na huwa nampa computer yangu aitumie tukaenda zaidi nilimshitukia kumbe huyu polite ana urafiki wa kimapenzi na dada mwingine anayeitwa salma siku moja walipanga kwenda kufanya mapenzi lakini polite akakataa ?
Sikuamini macho yangu wala masikio siku nyingi kama naota kumbe polite alikuwa na urafiki na dada mmoja anaitwa Maria Chipz ?? Sikuamini , nilimuheshimu sana maria na sikutegemea kama anaweza kufanya hivyo hata siku moja , muda ukaenda kumbe kuna dada



mwingine anaitwa REHEMA naye alikuwa anampenda Politeman Miss upanga Naye anampenda Politeman we acha tu
Nikamwaga chini sikupenda tabia zake za kitoto kitoto anazowafanyia hao kina dada wengine ingawa nilifanya nae mapenzi kama mara 4 hivi na mara zote hatukutumia kinga na nilikuwa nimeadhirika ila ni siri yangu , polite hajui na wengine wote hawajui lakini ndio maisha hayo
Haya ndio hivyo , nami sasa hivi nakaribia kufariki dunia niko zangu kitandani hapa hospitali ya Amana mkoani dar es salaam , kweli maisha ni safari ishi upendavyo na sio watakavyo , mwisho wa yote dunia sio hadaa wala dunia haikuchukii au haitaki kukufanyia chochote kibaya
Bali watu ndio hadaa , hata kama ni ndugu yako rafiki yako , hakikisha humpi nafasi akutawale aweze kukumiliki wewe na kukuamrisha chochote kile anachotaka yeye , kama ukifanya hivyo ndio utaishia kubaya kama mimi
Bosi wangu alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka sasa nimeaona faida zake na hasara zake
 

Copyright © 2013. UBUYU KITAANI - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX