Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » JE UNAJUWA CHUPI NYEUPI INA NINI KWA KINA DADA??????????????????

JE UNAJUWA CHUPI NYEUPI INA NINI KWA KINA DADA??????????????????



CHUPI NYEUPE KWA MWANAMKE HUMAANISHA MENGI ZAIDI YA VILE UNAVYOFIKIRI.



Nguo za ndani ziko za rangi mbalimbali ambazo nyingine huvutia sana na nyingine huwa hazivutii.Mara nyingi uzuri wa rangi hizi hutofautiana kati ya mtu na mtu kwani mwingine huona rangi nzuri ni nyekundu wakati mwingine huona nyeusi.
Licha ya utofauti huu lakini kuna ukweli flani kuhusu rangi nyeupe hasahasa ya nguo hizi za ndani kwa mwanamke,rangi hii huhusishwa na mambo yafuatayo.

*Rangi hii hudhihirisha unadhifu na usafi alionao mwanamke husika kwani kama mwanamke usafi kidogo kwake ni mtihani basi katu hawezi kuthubutu kuvaa chupi au nguo yoyote ya ndani yenye rangi nyeupe kwani huficha uchafu wake.
*Rangi hii humfanya mdada aonekane mwenye kung’aa na rangi ya ngozi yake ionekane dhahiri kutokana na mg’ao wa rangi nyeupe wa nguo zake za ndani alizovaa. *Nguo nyeupe hudhihirisha kujiamini na kujijali alikonako mwanamke husika kwani kupitia nguo nyeupe inaonesha jinsi mwanamke anavyojituma kuanzia kuzihudumia nguo hizo hivyo inaonesha hata katika mambo majukumu mengine ya kimaendeleo hujituma na huwa smart katika maamuzi. Ni wakati wako kama mwanamke angalau maramojamoja kuvaa nguo za ndani ambazo zina rangi nyeupe ili kuleta utofauti wa hisia pale muwapo chumbani na mpenzi

wako sio kila siku wewe ni chupi nyeusi tu mpaka mumeo au mpenzio anazikariri loo!
 

Copyright © 2013. UBUYU KITAANI - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX